-
Matendo 28:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Miezi mitatu baadaye tukasafiri kwa meli ambayo upande wa mbele ilikuwa na sanamu ya “Wana wa Zeu.” Meli hiyo ilitoka Aleksandria na ilikuwa imekaa kwenye kisiwa hicho wakati wa majira ya baridi kali.
-
-
Matendo 28:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Miezi mitatu baadaye tukasafiri kutoka Aleksandria kwa mashua iliyokuwa imekaa wakati wa majira ya baridi katika hicho kisiwa na yenye sanamu ya gubeti ya “Wana wa Zeusi.”
-