-
Waroma 9:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Inakuwaje basi, ikiwa Mungu, ingawa alikuwa na nia ya kuonyesha ghadhabu yake na kujulisha nguvu zake, alivumilia kwa subira nyingi vyombo vya ghadhabu vilivyo tayari kwa ajili ya uharibifu?
-