-
Waroma 10:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Hata hivyo, watawezaje kumwitia ikiwa hawajamwamini? Nao watamwaminije yule ambaye hawajamsikia? Nao watasikiaje bila mtu wa kuhubiri?
-