-
Waroma 10:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Hata hivyo, watawezaje kumwitia ikiwa hawajamwamini? Nao watamwaminije yule ambaye hawajamsikia? Nao watasikiaje bila mtu wa kuhubiri?
-
-
Waroma 10:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Hata hivyo, watamwitiaje ambaye hawajaweka imani katika yeye? Nao watawekaje imani katika yeye ambaye hawajasikia? Nao watasikiaje bila mtu fulani kuhubiri?
-