-
Waroma 13:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kwa hiyo, yeyote anayepinga mamlaka amechukua msimamo dhidi ya mpango wa Mungu; wale ambao wamechukua msimamo dhidi ya mpango huo, watajiletea hukumu wao wenyewe.
-