-
1 Wakorintho 13:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikisema kama mtoto, nikifikiri kama mtoto, nikiwaza kama mtoto; lakini kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimeziacha tabia za mtoto.
-