-
2 Wakorintho 7:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kwa maana ikiwa nimejisifu kwake juu yenu, sijapata aibu; lakini kama vile mambo tuliyowaambia yalivyokuwa ya kweli, ndivyo pia kujisifu kwetu kwa Tito kumekuwa kweli.
-