-
2 Wakorintho 7:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kwa maana ikiwa nimejisifu kwake juu yenu, sijapata aibu; lakini kama vile mambo tuliyowaambia yalivyokuwa ya kweli, ndivyo pia kujisifu kwetu kwa Tito kumekuwa kweli.
-
-
2 Wakorintho 7:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa maana ikiwa nimefanya kujisifu kokote kwake juu yenu, sijaaibishwa; lakini kama vile tumewaambia mambo yote katika kweli, ndivyo pia kujisifu kwetu mbele ya Tito kumethibitika kuwa kweli.
-