-
2 Wakorintho 9:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi Yule ambaye humgawia mpandaji mbegu kwa wingi na mkate wa kula atawagawia na kuwazidishia ninyi mbegu ili mzipande naye ataongeza mavuno ya uadilifu wenu.)
-