27 Kwa maana imeandikwa: “Furahi, wewe mwanamke tasa usiyezaa; piga vigelegele vya shangwe, wewe mwanamke usiye na uchungu wa kuzaa; kwa maana watoto wa mwanamke aliye ukiwa ni wengi kuliko wa yule aliye na mume.”+
27 Kwa maana imeandikwa: “Furahi, wewe mwanamke tasa usiyezaa; paaza sauti na kupaaza kilio kikubwa, wewe mwanamke ambaye huna maumivu ya kuzaa mtoto; kwa maana watoto wa mwanamke aliye na ukiwa ni wengi kuliko wale wa yule aliye na mume.”+