-
Wagalatia 4:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa maana imeandikwa: “Uwe na mteremo, wewe mwanamke tasa usiyezaa; bubujika hisia na lia kwa sauti kubwa, wewe mwanamke usiyekuwa na maumivu ya kuzaa mtoto; kwa maana watoto wa mwanamke aliye mkiwa ni wengi zaidi sana kuliko wale wa yeye aliye na mume.”
-