-
2 Timotheo 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi ndani ya nyumba kubwa kuna vyombo vya dhahabu na fedha, na pia kuna vyombo vya miti na vya udongo, na vingine ni vya matumizi yanayoheshimika lakini vingine ni vya matumizi yasiyoheshimika.
-