-
2 Timotheo 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi ndani ya nyumba kubwa kuna vyombo vya dhahabu na fedha, na pia kuna vyombo vya miti na vya udongo, na vingine ni vya matumizi yanayoheshimika lakini vingine ni vya matumizi yasiyoheshimika.
-
-
2 Timotheo 2:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Basi katika nyumba kubwa mna vyombo si vya dhahabu na fedha tu bali pia vya mbao na vya udongo, na baadhi yavyo ni kwa kusudi lenye kuheshimika lakini vingine ni kwa kusudi lenye kukosa heshima.
-