28 Kwa maana Sheria huweka rasmi watu walio na udhaifu wawe makuhani wakuu,+ lakini neno la kiapo+ rasmi baada ya Sheria humweka rasmi Mwana, ambaye amefanywa kuwa mkamilifu+ milele.
28 kwa maana Sheria huweka rasmi kuwa makuhani wakuu+ watu walio na udhaifu,+ lakini neno la kiapo+ rasmi lililokuja baada ya Sheria humweka rasmi Mwana, ambaye amekamilishwa+ milele.