-
Waebrania 7:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 kwa maana Sheria huweka rasmi watu kuwa makuhani wa vyeo vya juu walio na udhaifu, lakini neno la kiapo kilichoapwa lililokuja baada ya Sheria huweka rasmi Mwana, ambaye amekamilishwa milele.
-