3 je, mnamtazama kwa kibali yule aliyevaa mavazi ya kifahari na kumwambia: “Wewe kalia kiti hiki kilicho mahali pazuri,” na kumwambia yule maskini: “Wewe simama tu,” au, “Kalia kile kiti pale chini ya kiti changu cha miguu”?+
3 mnamtazama kwa kibali+ yule aliyevaa mavazi ya fahari na kumwambia: “Wewe kalia kiti hiki hapa mahali pazuri,” nanyi mnamwambia yule maskini: “Wewe simama,” au: “Kalia kiti kile pale chini ya kiti changu cha miguu,”