3 Dhahabu na fedha zenu zimeliwa na kutu, na kutu hiyo itakuwa ushahidi dhidi yenu nayo itakula miili yenu. Vitu mlivyoweka akiba vitakuwa kama moto katika siku za mwisho.+
3 Dhahabu na fedha zenu zimeliwa na kutu, na kutu yake itakuwa kama ushahidi juu yenu nayo itakula sehemu zenu zenye nyama. Kitu kama moto+ ndicho mmeweka akiba+ katika siku za mwisho.+