-
1 Petro 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Mnampenda ingawa hamkumwona kamwe. Ijapokuwa hammwoni sasa, bado mnaonyesha imani katika yeye na mnashangilia sana kwa shangwe isiyoelezeka na iliyotukuka,
-