-
1 Petro 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Mnampenda ingawa hamkumwona kamwe. Ijapokuwa hammwoni sasa, bado mnaonyesha imani katika yeye na mnashangilia sana kwa shangwe isiyoelezeka na iliyotukuka,
-
-
1 Petro 1:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Ingawa hamkumwona yeye kamwe, mwampenda. Ingawa hamwi mkimtazama wakati wa sasa, bado mwadhihirisha imani katika yeye na mnashangilia sana kwa shangwe isiyosemeka na iliyotukuzwa,
-