12 Malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake. Na theluthi moja ya jua ikapigwa,+ pia theluthi moja ya mwezi, na theluthi moja ya nyota, ili theluthi moja ya hizo itiwe giza+ na mchana usiwe na nuru kwa theluthi moja, na usiku vivyo hivyo.
12 Na malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake. Na sehemu ya tatu ya jua ikapigwa na sehemu ya tatu ya mwezi na sehemu ya tatu ya nyota, ili sehemu ya tatu ya hizo itiwe giza+ na mchana usiwe na nuru kwa sehemu yake ya tatu,+ na usiku vivyo hivyo.