-
Ufunuo 11:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Tetemeko kubwa la ardhi likatokea saa hiyo, na sehemu ya kumi ya jiji ikaanguka; na watu 7,000 wakauawa na tetemeko hilo la ardhi, na wale wengine wakawa na hofu na kumpa utukufu Mungu wa mbinguni.
-