-
Ufunuo 11:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Tetemeko kubwa la ardhi likatokea saa hiyo, na sehemu ya kumi ya jiji ikaanguka; na watu 7,000 wakauawa na tetemeko hilo la ardhi, na wale wengine wakawa na hofu na kumpa utukufu Mungu wa mbinguni.
-
-
Ufunuo 11:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Na katika saa hiyo tetemeko kubwa la dunia likatukia, na sehemu ya kumi ya hilo jiji ikaanguka; na watu elfu saba wakauawa na hilo tetemeko la dunia, na wale wengine wakawa wenye kuogopa na kumpa utukufu Mungu wa mbinguni.
-