-
Mwanzo 34:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Wote waliokuwa wakitoka nje kupitia lango la jiji lake wakamsikiliza Hamori na Shekemu mwanawe, na wanaume wote wakatahiriwa, wote waliokuwa wakitoka nje kupitia lango la jiji.
-