-
Mwanzo 34:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kisha wote waliokuwa wakitoka nje kupitia lango la jiji lake wakamsikiliza Hamori na Shekemu mwana wake, na wanaume wote wakatahiriwa, wale wote wanaotoka nje kupitia lango la jiji lake.
-