-
Mwanzo 4:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kisha Lameki akatunga maneno haya kwa ajili ya wake zake, Ada na Zila:
“Sikieni sauti yangu, enyi wake za Lameki;
Sikilizeni maneno yangu:
Nimemuua mwanamume kwa sababu ya kunijeruhi,
Naam, mwanamume kijana kwa sababu ya kunipiga.
-