-
Mwanzo 4:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Basi Lameki akatunga maneno haya kwa ajili ya wake zake Ada na Zila:
“Sikieni sauti yangu, enyi wake za Lameki;
Tegeni sikio kwa maneno yangu:
Nimemuua mtu kwa kunitia jeraha,
Naam, kijana kwa kunipiga.
-