Mwanzo 36:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Shehe Nahathi, Shehe Zera, Shehe Shamma, na Shehe Miza. Hao ndio mashehe wa Reueli katika nchi ya Edomu.+ Hao ndio wana wa Basemathi, mke wa Esau.
17 Hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Shehe Nahathi, Shehe Zera, Shehe Shamma, na Shehe Miza. Hao ndio mashehe wa Reueli katika nchi ya Edomu.+ Hao ndio wana wa Basemathi, mke wa Esau.