Mwanzo 36:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Shehe Nahathi, shehe Zera, shehe Shamma, shehe Miza. Hao ndio mashehe wa Reueli katika nchi ya Edomu.+ Hao ndio wana waliozaliwa na Basemathi, mke wa Esau.
17 Hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Shehe Nahathi, shehe Zera, shehe Shamma, shehe Miza. Hao ndio mashehe wa Reueli katika nchi ya Edomu.+ Hao ndio wana waliozaliwa na Basemathi, mke wa Esau.