-
Mwanzo 42:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kisha Yosefu akaamuru mifuko yao ijazwe nafaka, na pesa za kila mmoja wao zirudishwe ndani ya gunia lake na pia wapewe vyakula kwa ajili ya safari. Ndivyo walivyofanyiwa.
-