- 
	                        
            
            Mwanzo 49:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
15 Naye ataona kwamba mahali pa kupumzikia ni pazuri na kwamba nchi inapendeza. Atainamisha bega lake ili abebe mzigo, naye atakubali kufanya kazi ya utumwa.
 
 -