-
Mwanzo 49:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Naye ataona kwamba mahali pa kupumzika ni pazuri na kwamba nchi ni yenye kupendeza; naye atainamisha bega lake abebe mizigo naye atalazimishwa kufanya kazi ya kitumwa.
-