-
Mwanzo 9:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kwa hiyo Shemu na Yafethi wakachukua nguo na kuiweka mabegani mwao na kuingia ndani kinyumenyume. Basi wakaufunika uchi wa baba yao huku nyuso zao zikitazama pembeni, nao hawakuuona uchi wa baba yao.
-