Mwanzo 9:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Ndipo Shemu na Yafethi wakachukua nguo ya kujitanda+ na kuiweka kwenye mabega yao mawili. Wakatembea kinyume-nyume. Wakaufunika uchi wa baba yao, nyuso zao zikiwa zimegeuzwa, nao hawakuuona uchi wa baba yao.+
23 Ndipo Shemu na Yafethi wakachukua nguo ya kujitanda+ na kuiweka kwenye mabega yao mawili. Wakatembea kinyume-nyume. Wakaufunika uchi wa baba yao, nyuso zao zikiwa zimegeuzwa, nao hawakuuona uchi wa baba yao.+