-
Mwanzo 13:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Je, nchi yote haiko mbele yako? Tafadhali, jitenge nami. Ukienda kushoto, nitakwenda kulia; lakini ukienda kulia, basi mimi nitakwenda kushoto.”
-