Mwanzo 16:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Sasa tafadhali! Yehova amenizuia nisizae watoto. Tafadhali, lala na mtumishi wangu. Huenda nikapata watoto kupitia yeye.”+ Kwa hiyo Abramu akasikiliza maneno ya Sarai. Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 16:2 w04 1/15 27 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 16:2 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2017 kur. 12-13 Mnara wa Mlinzi,1/15/2004, uku. 27
2 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Sasa tafadhali! Yehova amenizuia nisizae watoto. Tafadhali, lala na mtumishi wangu. Huenda nikapata watoto kupitia yeye.”+ Kwa hiyo Abramu akasikiliza maneno ya Sarai.