Mwanzo 21:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kwa hiyo akamwambia Abrahamu: “Mfukuze kijakazi huyu na mwanawe, kwa maana mwana wa kijakazi huyu hatakuwa mrithi pamoja na mwanangu, pamoja na Isaka!”+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:10 Mnara wa Mlinzi,7/1/1989, uku. 21
10 Kwa hiyo akamwambia Abrahamu: “Mfukuze kijakazi huyu na mwanawe, kwa maana mwana wa kijakazi huyu hatakuwa mrithi pamoja na mwanangu, pamoja na Isaka!”+