-
Mwanzo 21:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kisha akaenda na kuketi chini peke yake, karibu umbali ambao mshale hufika unaporushwa kwa upinde, kwa maana alisema: “Sitaki kumwona mvulana huyu akifa.” Kwa hiyo akaketi chini umbali fulani na kuanza kulia kwa sauti na kutokwa na machozi.
-