Mwanzo 22:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Kwa hiyo Abrahamu akachukua kuni kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa na kumtwika Isaka mwanawe. Halafu akabeba moto na kisu* mikononi, na wote wawili wakaendelea kutembea pamoja. Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:6 Mnara wa Mlinzi (Funzo),1/2017, uku. 32
6 Kwa hiyo Abrahamu akachukua kuni kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa na kumtwika Isaka mwanawe. Halafu akabeba moto na kisu* mikononi, na wote wawili wakaendelea kutembea pamoja.