-
Mwanzo 24:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kwa hiyo akamimina haraka maji ya mtungi wake ndani ya chombo cha kuwanyweshea wanyama, naye akakimbia tena na tena kisimani kuteka maji, akaendelea kuteka maji kwa ajili ya ngamia wake wote.
-