-
Mwanzo 24:61Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
61 Kisha Rebeka na vijakazi wake wakainuka, wakapanda ngamia, na kumfuata mtumishi huyo. Kwa hiyo mtumishi huyo akamchukua Rebeka na kuondoka.
-