-
Mwanzo 29:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi akaona kisima shambani na makundi matatu ya kondoo yakiwa yamelala kando yake, kwa sababu kwa kawaida wachungaji waliwanywesha kondoo wao maji ya kisima hicho. Kulikuwa na jiwe kubwa lililofunika kisima hicho.
-