-
Mwanzo 31:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Basi Labani akamkaribia Yakobo alipokuwa amepiga hema lake mlimani; Labani alikuwa amepiga kambi na ndugu zake kwenye eneo lenye milima la Gileadi.
-