-
Mwanzo 31:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Basi Labani akamkaribia Yakobo, kwa kuwa Yakobo alikuwa amepiga hema mlimani na Labani alikuwa amepiga kambi kwa ajili ya ndugu zake katika eneo lenye milima la Gileadi.
-