-
Kutoka 2:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha dada ya mtoto huyo akamuuliza binti ya Farao: “Je, niende nikamwite mwanamke mlezi Mwebrania akunyonyeshee mtoto huyu?”
-