-
Kutoka 2:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha dada ya mtoto huyo akamwambia binti ya Farao: “Je, niende nikakuitie mwanamke anayenyonyesha kutoka kati ya wanawake Waebrania apate kukunyonyeshea mtoto huyu?”
-