-
Kutoka 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha binti ya Farao akamwambia: “Mchukue mtoto huyu uninyonyeshee, nami nitakulipa.” Basi mwanamke huyo akamchukua na kumnyonyesha.
-