-
Kutoka 4:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Ndipo Yehova akamwambia Musa: “Unyooshe mkono wako umkamate mkia.” Basi akaunyoosha mkono wake na kumkamata, nyoka huyo akawa fimbo mkononi mwake.
-