-
Kutoka 4:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Sasa Yehova akamwambia Musa: “Nyoosha mkono wako umkamate kwenye mkia.” Basi akaunyoosha mkono wake, akamkamata, naye akawa fimbo mkononi mwake.
-