Kutoka 4:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Lakini hata wasipoamini ishara hizo mbili na kukataa kuisikiliza sauti yako, utachota maji kutoka katika Mto Nile na kuyamwaga kwenye nchi kavu, na maji hayo yatakuwa damu kwenye nchi kavu.”+
9 Lakini hata wasipoamini ishara hizo mbili na kukataa kuisikiliza sauti yako, utachota maji kutoka katika Mto Nile na kuyamwaga kwenye nchi kavu, na maji hayo yatakuwa damu kwenye nchi kavu.”+