-
Kutoka 5:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Na wasimamizi wa kazi waliendelea kusisitiza hivi: “Ni lazima kila mmoja wenu amalize kazi yake kila siku, kama mlivyokuwa mkifanya mlipokuwa mkiletewa nyasi.”
-